Ekuweme
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 3,520
- 3,962
Endelea kudiscuss about usafiri walio kwenda nao wakati wenzenu wanamimina magoli hukoWameenda uwanjani na usafiri gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kudiscuss about usafiri walio kwenda nao wakati wenzenu wanamimina magoli hukoWameenda uwanjani na usafiri gani?
Wacha bangeYupo nae si mwingine bali ni Aziz ki [emoji16]
Sasa mkuu si ndivyo wanavyosema ndugu zetu? Kuwa Aziz ni bora kuliko Chama?Wacha bange
Litokee wapiiiSijaona goli la hivyo World Cup. Au nyie mmeona ndugu zangu?
Wale Da ashura mlemavu wa ngozi alishahitimisha kuwa huko wenye akili ni wawiliSasa mkuu si ndivyo wanavyosema ndugu zetu? Kuwa Aziz ni bora kuliko Chama?
Walifunga Senegal sikumbuki mechi ganiSijaona goli la hivyo World Cup. Au nyie mmeona ndugu zangu?
Hawa madogo tunawachezea softly sana yani tunawapa airtime nyingi ya kufika golini ila sisi tukifika kwao lazima mpira uanzie katiMkuu nanyi Makolokolo mmesambaza bahasha nini kama utopolo [emoji848][emoji1787]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nimeliona kwake Tu zidi ya Mbabane swalo rejea ile mechi utaona anafunga mtindo ule uleSijaona goli la hivyo World Cup. Au nyie mmeona ndugu zangu?
Nimekurudia mkuu....Sisi Utopolo tunasema Chama amefunga akiwa kaganda, goli sio halali
Alaifunga yeye mwenyewe chama zidi ya Mbabane swaloWalifunga Senegal sikumbuki mechi gani
Nikikumbuka ntaweka hapa clip yake
Wachaaaa!!! Mbona nimepitia weldi kapu zote sijaonaWalifunga Senegal sikumbuki mechi gani
Nikikumbuka ntaweka hapa clip yake
Chama mmoja ni sawa na Yanga nzima na mashabiki waoDah Ila huyu Chama mwacheni hakuna WA kumfananisha naye kiujumla
Mi nazungumzia header ya boccoWachaaaa!!! Mbona nimepitia weldi kapu zote sijaona