FT: Ligi Kuu: Geita Gold 0-5 Simba / Uwanja wa CCM Kirumba - Mwanza / 18-12-2022

FT: Ligi Kuu: Geita Gold 0-5 Simba / Uwanja wa CCM Kirumba - Mwanza / 18-12-2022

SIMBA 5 GEITA 0
SIMBA 5 YANGA 0

UKIBISHA NATUMA NA MAGOLI
NIPO IHEFU HUKU
giphy.gif
 
Chama mmoja ni sawa na Yanga nzima na mashabiki wao
Unaonaje mkatoa wazo mechi ya derby inayofuata, wachezaji wenu kadhaa wacheze rafu za red card ili watolewe nje ili abaki chama pekee ili angalau mbalansi mzani? Maana derby nyingi ambazo chama anacheza huwa Simba ndio wanashinda. Wacheni na Yanga ashinde kwa kuwapunguzia mzani.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Sitaki kuamini maneno nayosikia eti nini?? Eti Barbra ndo nini?? Acheni dada wa watu apumzike kazi ya kuibrand Simba ameifanya vzr...mbona alikuwepo na Ruvu shooting wakala 7?
 
Unaonaje mkatoa wazo mechi ya derby inayofuata, wachezaji wenu kadhaa wacheze rafu za red card ili watolewe nje ili abaki chama pekee ili angalau umbalansi mzani? Maana derby nyingi ambazo chama anacheza huwa Simba ndio wanashinda. Wacheni na Yanga ashinde kwa kuwapunguzia mzani.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Mbona tulichezaga pungufu na mkashindwa kupata matokeo zaidi tulikuw pungufu na tukatoka nyuma goli 3 na kurudisha zote?
 
Timu imeshinda magoli mengi lakini bado mashabiki wamekuwa nashauku na kitu lakini kwa leo hakijatokea. Kutofunga leo kwa Phiri kumefanya mashabiki wasiridhike kivile
yanga wamefurahi record ya mayele kuendelea kubaki juu
 
Mbona tulichezaga pungufu na mkashindwa kupata matokeo zaidi tulikuw pungufu na tukatoka nyuma goli 3 na kurudisha zote?
Unazungumzia enzi za chama au? Mada inahusu chama mmoja ni sawa na wachezaji wote wa Yanga jumlisha na mashabiki wake.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom