Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Wachezaji hakuna boss benchi mtalilaumu tuBila shaka Simba inahitaji benchi la ufundi lingine. Kuna sehemu ya mafundisho wachezaji hawafundishwi wanapocheza na timu za Mbeya. This is another big mistake 🥲
Tutajipanga msimu ujao
Umesema kwamba?Timu hatuna, hata akija pep mwenyewe hapa hawezi kuchukua kikombe
Hatuna timu! Huo ndio ukweli. Management na bodi ya Simba wametuingiza mkenge msimu wa pili huu.