Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Bila shaka Simba inahitaji benchi la ufundi lingine. Kuna sehemu ya mafundisho wachezaji hawafundishwi wanapocheza na timu za Mbeya. This is another big mistake 🥲
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachezaji hakuna boss benchi mtalilaumu tuBila shaka Simba inahitaji benchi la ufundi lingine. Kuna sehemu ya mafundisho wachezaji hawafundishwi wanapocheza na timu za Mbeya. This is another big mistake 🥲
Tutajipanga msimu ujao
Umesema kwamba?Timu hatuna, hata akija pep mwenyewe hapa hawezi kuchukua kikombe
Hatuna timu! Huo ndio ukweli. Management na bodi ya Simba wametuingiza mkenge msimu wa pili huu.