Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Lile goli la Mbeya City lileNi matokeo ya mpira tuu hayo. Walinzi wa Simba walijisahau na ndo mchezo no one to blame.
Ni matokeo ya mpira tuu hayo. Walinzi wa Simba walijisahau na ndo mchezo no one to blame.
🤣🤣🤣🤣 qqqmkk
Kazi kwenu vijana wa polis. Pigisheni kwata hawa simba koko tar 27.
Nyie ni kama mshumaa mkitoka nje mnazima[emoji23][emoji23]Nakupenda Simba yangu nahakika kuna kitu mtafanya. Vivaaa Simbaa vivaaa
Nguvu zimekuwa nyingi sasaMnyama mkali Simba Sc tafuna tafuna hao Mbeya City.
SIMBA NGUVU MOJA
SiMBA BINGWA NBCPL 2022/2023
Hahahaaaaa, waambie haoHata mechi ijayo stori itakuwa hivi tu, wakati yanga mechi zake za away anashinda zote .
Tatizo NgadaNgada fc tunakwama wapi😩😩😩😩
🤣🤣🤣🤣🤣Ni matokeo ya mpira tuu hayo. Walinzi wa Simba walijisahau na ndo mchezo no one to blame.
Wewe leo wa kusema haya..!! Kweli Ngada FCNi matokeo ya mpira tuu hayo. Walinzi wa Simba walijisahau na ndo mchezo no one to blame.
Tatizo NgadaYani sisi mikia kweli tunataka droo na walima viazi😩😩😩
Anayedhani Simba hii ina Wachezaji wa kupambania Kombe anajidanganya.Bora ww bila kununua wachezaji wa 4 simba hii akuna kitu