FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

Management na bodi wajiuzuru! Matatizo haya ni yao!! Kama unaipenda Simba tuukate uongozi wa Simba! Wamefeli bila sababu za msingi! Tatizo sio wachezaji wala kocha ni uongozi ambao hujificha kwenye kivuli cha wachezaji au kocha!

Tuombe uchaguzi haraka tufanye mabadiliko! Harakati zinaanza!
 
Ni matokeo ya mpira tuu hayo. Walinzi wa Simba walijisahau na ndo mchezo no one to blame.

Hata mechi ijayo stori itakuwa hivi tu, wakati yanga mechi zake za away anashinda zote .
 
🤣🤣🤣🤣 qqqmkk

Kazi kwenu vijana wa polis. Pigisheni kwata hawa simba koko tar 27.
 
Mkakutana na Batter Bullets ya Malawi imejichokea mkapiga makadhani ni kipimo. Ikaja ya Angora ilipigwa pia na Namungo,hapo ndio ilikuwa mshtukie kwamba hiki sio kipimo
 
Sasa matusi ya nini..yani mpira wacheze wengine mbwatuke wengine
 
Back
Top Bottom