NgadaTulishasema chama ni kwa mkapa tu sio mikoani
Draw mmetoa draw Ngada FcKwani tumefungwaaaa???????
Droo ni tokeo mbonaaDraw mmetoa draw Ngada Fc
Sio mazuri,NI mazuri, inategemea tu upo upande gani
Droo umedrop 2 points?Nyie mna droo ngpai mpk sasa kwani
Sawaa ila ni tofauti sana na kufungwa akaondoka nazo mpinzani zoteDroo umedrop 2 points?
Hawajaanza, ila wanaendeleaSio mazuri,
Wameanza kuwalisha Ngada wachezaji wao
Sawa ila mmepoteza pointi mbiliDroo ni tokeo mbonaa
Mkuu;. Uko sahihi kabisa , tatizo Simba no uongozi. Sajili gani hizi wanafanya.Management na bodi wajiuzuru! Matatizo haya ni yao!! Kama unaipenda Simba tuukate uongozi wa Simba! Wamefeli bila sababu za msingi! Tatizo sio wachezaji wala kocha ni uongozi ambao hujificha kwenye kivuli cha wachezaji au kocha!
Tuombe uchaguzi haraka tufanye mabadiliko! Harakati zinaanza!