FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

Mbeya City wameahindwa kupindua meza kama Saudi Arabia na Japan!
 
Kileleni kuna baridi sana, tumekalia kwa dakika kadhaa tumeshindwa, hatuwezi kuteseka kwa baridi
 
Management na bodi wajiuzuru! Matatizo haya ni yao!! Kama unaipenda Simba tuukate uongozi wa Simba! Wamefeli bila sababu za msingi! Tatizo sio wachezaji wala kocha ni uongozi ambao hujificha kwenye kivuli cha wachezaji au kocha!

Tuombe uchaguzi haraka tufanye mabadiliko! Harakati zinaanza!
Mkuu;. Uko sahihi kabisa , tatizo Simba no uongozi. Sajili gani hizi wanafanya.
 
Back
Top Bottom