Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Wakati huo huo yanga akiziweka kwapani ponit zote ktk mechi zote watu watakufa na presure these timeNext match na Polisi tz, lazima watoboke aisee.
Mnyama atanyonyolewa mpaka abaki na ngozi kama kiboko.
Hizo points 10 za away zilizobaki simba ataondoka na 3 au 4 tu.
Tishaaa...
Mla ngada vp upo si dhani kama leo utatoa mibinuo yote kwa mzee babaUmeanzaa [emoji38]
ππππππππNext match na Polisi tz, lazima watoboke aisee.
Mnyama atanyonyolewa mpaka abaki na ngozi kama kiboko.
Hizo points 10 za away zilizobaki simba ataondoka na 3 au 4 tu.
Huo ndo ukweli..Ongera Mbeya City kwa goli zuri lisilo na utata.
Waamuzi wa leo wangekuwa makini mpira ungeisha kwa 1 - 0.
View attachment 2425301
Aisee pole nduguEndeleeni kujadili mjimwaye mwayeee
Umesahau pia kubebwa na wachambuzi wa kina farhaniSimba ni timu mbovu ila inabebwa na upumbavu wa mashabiki.
Past results don't reflect future resultsHakuna sare kwenye mechi kumi kati ya Simba SC na Mbeya City katika Ligi Kuu Tanzania Bara.View attachment 2425020
Bantu lady habr zako dad wetuNiambie mrembo wangu Shadeeya kuna habari gani hapa?
Ahahahaha ndagaa fc wanajidanganya sana timu nzima ile ni ya kufutwaa abki manula na moses phiriPoleni sana ndugu Makolo,trip shamba trip garage
Guvu moya πMnyama mkali Simba Sc tafuna tafuna hao Mbeya City.
SIMBA NGUVU MOJA
SiMBA BINGWA NBCPL 2022/2023
Club kubwa Africa alafu inaendeshwa kienyeji.Tutaendelea umia sababu ya kukumbatia ujinga na wajinga
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Bila shaka ndoto yake imetimia πUnaota
Sasa hivi Moo anameza pariki nzima-nzima bila kutafuna.Guvu moya π
Nzuri dr namugari za kwako...Bantu lady habr zako dad wetu
Mganga wenu muhimu kuliko kuwa na Kocha wa viungo........juzi ndiyo kaja πClub kubwa Africa alafu inaendeshwa kienyeji.