FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

Naziona pointi nyingine tatu kwa mnyama.
 
Kwa haya mahaba ya Hawa waamuzi, leo hapa Kuna red card Kwa mbeya city na penati watapewa simba
Yakifanyika makosa ya penati na red card, ni sahihi kabisa vikitolewa. Tatizo mmekariri kwamba red card na penati havitakiwi
 
Nilibahatika kuongea na mashabiki wa Yanga baada ya mechi yao na Geita kuisha nikawaukiza kama walikubaliana na ile penati, wakasema ile haikuwa penati ya halali lakini kama refa ametupa sisi tukatae? Vivyo hivyo na kwa Simba, kama refa ameridhia kuwa ni goli wakatae?
 
Mwigulu na Mchengerwa walipiga kelele za VAR lakini walivyoona utopolo ndio wanafaidi zaidi wakanyamaza, sasa tusisumbuane kwa hilo goli la offside, utopolo kawaulizeni wale mashabiki wenu wawili zile kelele zao za VAR ziliishia wapi?
 
Huwezi kataa.

Shida ni kuwanyooshea wengine vidole pale wanapofaidika na makosa ya marefa kwa kusema wametoa bahasha ingali nawe ni mmojawao.
 
Rafu dhidi ya Phiri ilipaswa iwe Penati
 
Huyu Sixtus huyu ni wakumchunga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…