SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Miongoni mwa mashabiki wa Simba wenye akili timamu, wewe ni mmojawao. Ulipenda mpira kabla ya kupenda timu.Replay ya saizi nimeona kweli Bocco alikuwa peke yake kule mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miongoni mwa mashabiki wa Simba wenye akili timamu, wewe ni mmojawao. Ulipenda mpira kabla ya kupenda timu.Replay ya saizi nimeona kweli Bocco alikuwa peke yake kule mbele
Kama unakivutio njoo na wewe tukupe bahashaacheni ujinga wenu wa kuleta habari za bahasha
Yakifanyika makosa ya penati na red card, ni sahihi kabisa vikitolewa. Tatizo mmekariri kwamba red card na penati havitakiwiKwa haya mahaba ya Hawa waamuzi, leo hapa Kuna red card Kwa mbeya city na penati watapewa simba
Tumewaambia watoe japo goli mbili au tatu.Hahahaha.. kwamba asilie mtu sio
Makosa yapi ya wazi?? Kama haya ya kukubali offside kuwa goliYakifanyika makosa ya penati na red card, ni sahihi kabisa vikitolewa. Tatizo mmekariri kwamba red card na penati havitakiwi
Huwezi kataa.Nilibahatika kuongea na mashabiki wa Yanga baada ya mechi yao na Geita kuisha nikawaukiza kama walikubaliana na ile penati, wakasema ile haikuwa penati ya halali lakini kama refa ametupa sisi tukatae? Vivyo hivyo na kwa Simba, kama refa ameridhia kuwa ni goli wakatae?
Ndio uache uzuzu kwenye mechi za wengine unasema bahashaPuliza filimbi basi kama unaweza
Ataachaje wakati ni zuzu kweliNdio uache uzuzu kwenye mechi za wengine unasema bahasha
Acheni kulialia wakati hadi mnaongoza Kwa makosa ya mwamuziRafu dhidi ya Phiri ilipaswa iwe Penati