FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

45+1' Kuelekea kuwa mapumziko, city wanapata Free Kick, wanaanza haraka lakini wanadhibitiwa

Naaam mpira ni mapumziko ambapo Simba wapo mbele ya bao moja

HT: Mbeya City 0-1 Simba SC
 
Wee ndo ujionee huruma kutwa kuiwaza Simba. Sisi wenyewe tuna raha na timu yetu mbonaa
 
Nimeamini anibiteni hawana furaha mpk Simba ishuke daraja ila hivi hivi wanapata tabuu sanaa
 
NAIANGALIA SIMBA YANGU.

INAKATISHA TAMAA.

TIMU INA WACHEZAJI WADOGO MNO.
QUALITY IPO CHINI SANA.

HATA PASI TATU HAZIFIKI.
PAPATU PAPATU TU.
Waaambie mbumbumbu wenzako labda watakuelewa...
Timu haiwezi piga pasi hata 5 tu eti Kuna vibwengo wanakuambia Simba tamu[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…