FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

Kwa haya mahaba ya Hawa waamuzi, leo hapa Kuna red card Kwa mbeya city na penati watapewa simba
 
22' Hassan wa City anaonyeshwa Kadi ya Njano kwa kumchezea madhambi Phiri
 
Replay ya saizi nimeona kweli Bocco alikuwa peke yake kule mbele
Nimependa jinsi ulivyokua muwazi.. ila vipi kuhusu bahasha maana kwa makosa ya marefa kama haya wapinzani wenu wamekua wakishutumiwa kutembeza bahasha
 
Back
Top Bottom