Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Replay ya saizi nimeona kweli Bocco alikuwa peke yake kule mbelesahihi ila wewe wapoteza kwa raha maana naona refa hatak muda wako upotee bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Replay ya saizi nimeona kweli Bocco alikuwa peke yake kule mbelesahihi ila wewe wapoteza kwa raha maana naona refa hatak muda wako upotee bure
Sawa basi angalia vzr alafu uje tulichambue ilo goliSijaicheki vizuri niko naangalia mipira miwili at the same time
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mhindi kashakula hela yako naona umechachawa mpk kuandika huwezi
hata ya goli la juzi huwez sikia wakizungumziaIle ni offside kaka vipi hakuna bahasha kweli hapa
Bahasha ni muhimu sana Mjomba.Ile ni offside kaka vipi hakuna bahasha kweli hapa
Puliza filimbi basi kama unawezaHaya offside ya wazi ile .
hapana now nko nawasimanga marefa wajinga wajingabad
bado upo tu kupoteza muda?
Wangekuwa wenzenu na uzi ungefungua ila ninacho kikubali wewe ni bingwa wa kukimbia thread zako,vp leo KIBU kaanza.Puliza filimbi basi kama unaweza
Angekuwa ashakimbilia kufungua thread maana ni mahiri sana kwa hilo.Wangekuwa wenzenu na uzi ungefungua ila ninacho kikubali wewe ni bingwa wa kukimbia thread zako,vp leo KIBU kaanza.
Nimependa jinsi ulivyokua muwazi.. ila vipi kuhusu bahasha maana kwa makosa ya marefa kama haya wapinzani wenu wamekua wakishutumiwa kutembeza bahashaReplay ya saizi nimeona kweli Bocco alikuwa peke yake kule mbele
Hahahaha.. kwamba asilie mtu sioBahasha ni muhimu sana Mjomba.
Twende hivyo hivyo kwa sasa.
marefa mechi nyingi za simba wanazinguaKwa haya mahaba ya Hawa waamuzi, leo hapa Kuna red card Kwa mbeya city na penati watapewa simba
Leta tundu hilo tulipulizePuliza filimbi basi kama unaweza
Nimeicheki, ni offsideSawa basi angalia vzr alafu uje tulichambue ilo goli
Makosa ya marefa kama haya yanavyofanyika kwenye mechi za wapinzani wenu acheni ujinga wenu wa kuleta habari za bahashaPuliza filimbi basi kama unaweza