Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Nawashangaa mnaosema Simba haina wachezaji wazuri wakati ndio hao wametupeleka makundi klabu bingwa Afrika, Mgunda ameishiwa mbinu huu ndio ukweli.
Mlicheza na timu mbovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawashangaa mnaosema Simba haina wachezaji wazuri wakati ndio hao wametupeleka makundi klabu bingwa Afrika, Mgunda ameishiwa mbinu huu ndio ukweli.
Ndio ndio. Waswahili wanasema huu ni mwanzo tu. 😅makolo wana match kama 4 za away tena mfululizo then hii ya kwanza tu washaangusha pointi,na bado hawa swahiba mpaka maji waite mma 😀😀
Mnazunguka mbuyu tu, Simba haina Kocha. Mgunda sio kocha wa level ya Simba ilipofikia. Huyo ni wa level za akina IhefuWacha Yanga waendelee tawala ili zeruzeru aaminike kuwa ndiye aliyekuwa analeta ushindi.
Simba tunakumbatia ujinga
Tuwe wakweli simba
Matola
Mgunda
Bocco
Banda
Okwa
Akpan
Mkude
Nyoni
Manura*
Kibu
Gadiel
Kennedy
Hawatufai
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hebu njoo inbox tuyajenge...Rafiki binti kiziwi kumbe na wewe unafuatiliaga hizi vitu. [emoji28]
Na huku kupita kimya unafanya nahisi kama we ni ngufu moya hivvvi. [emoji12]
Tatizo walishamsifia, wanaogopa mfukuzaMnazunguka mbuyu tu, Simba haina Kocha. Mgunda sio kocha wa levelya Simba ilipofikia. Huyo ni wa level za akina Ihefu
Tupo mtani tulishajikatia tamaa. Wewe timu inaishi kwa mapambio. Eti Gadiola mnene, ukiangalia Simba aliyoacha Zoran na hii ya Mgunda ni tofauti kabisa. Hapa sasa timu inacheza hovyo na wachezaji wamekuwa wa hovyo.
Aliblock views ya manula, acha ushabiki...Goli la Mbeya City hakuna aliyeruka mpira. Yule mchezji mpira umepita pembeni yake..!! La simba bwana Boko aliruka na mpira ukampita kama tobo hivyo kuleta athari kwenye goli huku akiwa offside..!!
By the way, yaani unataka kutumia makosa ya kwenye goli la Mbeya City (kama yapo) kuhalalisha goli la Simba?
Mgunda ni mhamasishaji sio tactician... dressing room anamjaza upepo kibu uwanjani mmmhhhg...Tupo mtani tulishajikatia tamaa. Wewe timu inaishi kwa mapambio. Eti Gadiola mnene, ukiangalia Simba aliyoacha Zoran na hii ya Mgunda ni tofauti kabisa. Hapa sasa timu inacheza hovyo na wachezaji wamekuwa wa hovyo.
Simba haina kocha,
Naungana na wewe...Mnazunguka mbuyu tu, Simba haina Kocha. Mgunda sio kocha wa levelya Simba ilipofikia. Huyo ni wa level za akina Ihefu
Hahahaaa. Mtani umenikumbusha ile kauli yenu ya mwanzo eti mlete Mgunda.🤣Tupo mtani tulishajikatia tamaa. Wewe timu inaishi kwa mapambio. Eti Gadiola mnene, ukiangalia Simba aliyoacha Zoran na hii ya Mgunda ni tofauti kabisa. Hapa sasa timu inacheza hovyo na wachezaji wamekuwa wa hovyo.
Simba haina kocha,
Aaagh wapii..!!! Usifananishe na blocking ya Boko ambayo aliuruka na kuupitisha mpira kitobotoboAliblock views ya manula, acha ushabiki...
Halina tofauti na la simba...
Mi mwananchi kabisa sema mi sipendi kuwapopoa mawe watani, nikogo tu kuwacheka. 😂Rafiki binti kiziwi kumbe na wewe unafuatiliaga hizi vitu. 😅
Na huku kupita kimya unafanya nahisi kama we ni ngufu moya hivvvi. 😜
Hahahaaa. Sawa mwaya.Mi mwananchi kabisa sema mi sipendi kuwapopoa mawe watani, nikogo tu kuwacheka. 😂
Swahiba watajutraa hawa mpaka wakimaliza tour ya mikoani maana walikua wanafurahi walipokua wanacheza taifa tuNdio ndio. Waswahili wanasema huu ni mwanzo tu. 😅
Hata sasa hivi bila kuachana na kocha wao kwa kigezo cha kubana matumizi ndio imetoka hiyo. Toka awali sina imani kabisa na Mgunda. Sio kiwango cha Simba ilipo sasa hivi na aina ya wachezaji ilionao. Naamini hata Chama anaweza kuwa kocha bora kushinda Mgunda.Hahahaaa. Mtani umenikumbusha ile kauli yenu ya mwanzo eti mlete Mgunda.🤣
Pole Mtani ila ipo haja ya uongozi wenu kufanya namna kabla hali haijawa mbaya zaidi.
Sababu tukishawaacha kwa points zaidi ya 10 mjue ndio imetoka hiyo.