FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

Nawashangaa mnaosema Simba haina wachezaji wazuri wakati ndio hao wametupeleka makundi klabu bingwa Afrika, Mgunda ameishiwa mbinu huu ndio ukweli.

Mlicheza na timu mbovu
 
Wacha Yanga waendelee tawala ili zeruzeru aaminike kuwa ndiye aliyekuwa analeta ushindi.

Simba tunakumbatia ujinga

Tuwe wakweli simba
Matola
Mgunda
Bocco
Banda
Okwa
Akpan
Mkude
Nyoni
Manura*
Kibu
Gadiel
Kennedy

Hawatufai

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mnazunguka mbuyu tu, Simba haina Kocha. Mgunda sio kocha wa level ya Simba ilipofikia. Huyo ni wa level za akina Ihefu
 
Goli la Mbeya City hakuna aliyeruka mpira. Yule mchezji mpira umepita pembeni yake..!! La simba bwana Boko aliruka na mpira ukampita kama tobo hivyo kuleta athari kwenye goli huku akiwa offside..!!

By the way, yaani unataka kutumia makosa ya kwenye goli la Mbeya City (kama yapo) kuhalalisha goli la Simba?
Aliblock views ya manula, acha ushabiki...
Halina tofauti na la simba...
 
Tupo mtani tulishajikatia tamaa. Wewe timu inaishi kwa mapambio. Eti Gadiola mnene, ukiangalia Simba aliyoacha Zoran na hii ya Mgunda ni tofauti kabisa. Hapa sasa timu inacheza hovyo na wachezaji wamekuwa wa hovyo.

Simba haina kocha,
Mgunda ni mhamasishaji sio tactician... dressing room anamjaza upepo kibu uwanjani mmmhhhg...
 
Tupo mtani tulishajikatia tamaa. Wewe timu inaishi kwa mapambio. Eti Gadiola mnene, ukiangalia Simba aliyoacha Zoran na hii ya Mgunda ni tofauti kabisa. Hapa sasa timu inacheza hovyo na wachezaji wamekuwa wa hovyo.

Simba haina kocha,
Hahahaaa. Mtani umenikumbusha ile kauli yenu ya mwanzo eti mlete Mgunda.🤣

Pole Mtani ila ipo haja ya uongozi wenu kufanya namna kabla hali haijawa mbaya zaidi.

Sababu tukishawaacha kwa points zaidi ya 10 mjue ndio imetoka hiyo.
 
Unaacha nje Sakho, unachezesha
Hahahaaa. Mtani umenikumbusha ile kauli yenu ya mwanzo eti mlete Mgunda.🤣

Pole Mtani ila ipo haja ya uongozi wenu kufanya namna kabla hali haijawa mbaya zaidi.

Sababu tukishawaacha kwa points zaidi ya 10 mjue ndio imetoka hiyo.
Hata sasa hivi bila kuachana na kocha wao kwa kigezo cha kubana matumizi ndio imetoka hiyo. Toka awali sina imani kabisa na Mgunda. Sio kiwango cha Simba ilipo sasa hivi na aina ya wachezaji ilionao. Naamini hata Chama anaweza kuwa kocha bora kushinda Mgunda.

Sijawahi kumwamini huyu jamaa.

Wakiendelea na kocha wao huyu wasahau ubingwa na CAFCL tutegemee khamsa.

Kipindi anaanza alitembelea nyota ya Zoran timu ilikuwa organized ma inacheza kama timu. Sasa hivi ni bora liende tu na magoli ya kubahatisha
 
Back
Top Bottom