Aiseeee mbona hujatuitaaaHiyo sio Alteza wala IST
Hapo ni mtu kakutana na zahma
Sio mbaya si kaingia dakika ya 89Kibu tena?
Tunalijua hiloNawakumbusha tu kuwa Mayele ana mechi mbili za viporo kuzidi kujikita kileleni mwa ufungaji Bora.
Hebu acheni kelele za Mayele humu kwani uzi unamuhusu Mayele hap?Nawakumbusha tu kuwa Mayele ana mechi mbili za viporo kuzidi kujikita kileleni mwa ufungaji Bora.
Mbona una hasira sana chura?? π π π ww si ndo upo kileleni mbona unapanick hata ukisikia honi hahahahahaLabda maajabu yawe yameisha duniani.. Hivi huo ujasili wa kusema Simba inachukua kombe unautoa wapi we kolo?? Huoni timu zote ulizodondosha point Simba, Yanga amechukua point? Anza na Kmc, Azam, singida big stars na mbeya city.. halafu hakuna timu ambayo Yanga amedondosha point we ukachukua..
Dogo mmoja sijui anaitwa naniNani kafunga upande wa polisi?
Wengine Tupo safarini
We kolo hebu nitokeee.... Mayele anaongoza na Yanga bado anawaongoza.. una jingine???Mbona una hasira sana chura?? [emoji38] [emoji38] [emoji38] ww si ndo upo kileleni mbona unapanick hata ukisikia honi hahahahaha
Acha hasira topolo ww utakufa kwa presha sasa kama unaongoza unahasira za nini kuna mtu kakubishia?.We kolo hebu nitokeee.... Mayele anaongoza na Yanga bado anawaongoza.. una jingine???
Jengine hatoe wapi kolo huyo[emoji1]We kolo hebu nitokeee.... Mayele anaongoza na Yanga bado anawaongoza.. una jingine???
Watu wapo kileleni lakini hawajiamini hahahahDogo mmoja sijui anaitwa nani
Anatafuta tu ustar kutuchafulia gazeti