FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Polisi Tanzania 1-3 Simba SC | Uwanja wa D'eL Ushirika 27/11/2022

FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Polisi Tanzania 1-3 Simba SC | Uwanja wa D'eL Ushirika 27/11/2022

Nawakumbusha tu kuwa Mayele ana mechi mbili za viporo kuzidi kujikita kileleni mwa ufungaji Bora.
 
88' Ametoka Bocco na ameingia Kibu upande wa Simba
 
90' [emoji460] Goooooooooooooaaal gooal Polisi wanapata bao la kufutia machozi kupitia kwa Zubeir Khamis

Polisi Tanzania 1-3 Simba SC
 
Nawakumbusha tu kuwa pamoja na kucheza mechi mbili zaidi, Yanga bado anawaongoza kwenye msimamo wa ligi na Mayele anawaongoza kwenye chati ya ufungaji magoli
 
Labda maajabu yawe yameisha duniani.. Hivi huo ujasili wa kusema Simba inachukua kombe unautoa wapi we kolo?? Huoni timu zote ulizodondosha point Simba, Yanga amechukua point? Anza na Kmc, Azam, singida big stars na mbeya city.. halafu hakuna timu ambayo Yanga amedondosha point we ukachukua..
Mbona una hasira sana chura?? 😆 😆 😆 ww si ndo upo kileleni mbona unapanick hata ukisikia honi hahahahaha
 
Mbona una hasira sana chura?? [emoji38] [emoji38] [emoji38] ww si ndo upo kileleni mbona unapanick hata ukisikia honi hahahahaha
We kolo hebu nitokeee.... Mayele anaongoza na Yanga bado anawaongoza.. una jingine???
 
Back
Top Bottom