FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

Kama sisi tusipoambulia, nyie sasa mtaambulia nini? Kwa mpira huu huu mnaoucheza au huko mbeleni mtabadilika? Maana sijaona hiko cha ajabu mnachocheza tofauti na timu zingine. Nionyeshe kuna nini haswa kwenye hizo mechi zenu mbili? Mpira mzuri? Magoli au? Kipi haswa??
 
Mechi ijayo mnacheza na nani?
 
Mwanzo wa yanga hua unatuchanganya sana ila mwisho wake unaeleweka, kama unahisi mmeanza vizuri kiasi cha kujipa imani mnabeba ndoo utakua mwepesi kusahau

Mwaka jana mlicheza mechi ngapi bila kufungwa na mkiwa mnaongoza ligi? Enhee ikaweje? Mlibeba ndoo?

Kinacho kufanya uone mwanzo mlioanza nao ni ishara nzuri ya nyinyi kuchukua ndoo ni kipi? Ujio wa manara?
 
Kwahyo unatumia msimu uliopita kujihakikishia kwamba na msimu huu ndo hivyohivyo? Kwani maisha ni 'a Loop'? Kwamba lazima yajirudie vilevile kila siku au umkremu? Kama ingalikuwa hivyo mbona hamjachukua kombe misimu ishirini mfululizo?

How can a past justify a present?

How sure are you kwamba Simba na Yanga will perform the same? Umeona yajayo au unapiga tu ramli?

Msimu wa jana mlianza msimu kwa kushinda, mbona msimu huu hamjaanza hivyo kama mambo ni the same throughout years?
 
Kwani misimu 4 iliyopita ubingwa tulikua tunachukua kwa kupokezana na nani kiasi kwamba tusiwe na uhakika kua huwenda msimu huu akachukua mpinzani wetu?

Mambo yayo badilika ni dadi ya magoli ya wachezaji na mechi baadhi kutoa droo na kufungwa ila ubingwa ni costant hilo lina fahamika. Ni kama ilivyo nyinyi kwenye swala la migogoro mko costant, mtatulia siku kadhaa tu lakini yakianza hua hayaishi mpaka msimu ujao
 
Kusema aucho mzigo unaonyesha jinsi gan hujui mpira
GSM katengeneza kinywaji kipya ndani yake kaweka valium kisha kawapa geita gold kama ku show love kwenye soka na wao hawakustuka ila hali ndo hiyo wachezaji wamesizi lakini bado kina Aucho wanaonekana mizigo
 
Sarpong alikotoka alikuwa topscorer ni kwamba ligi ilimkataa tu. Mfano mzuri ni sancho wa dot na wa man ni watu wawil tofaut
Crew nzima ya yanga ilimsajili sapong na record zake tunazo, je ina maana bodi ya yanga ilikua haijui mpira?
 
Sarpong alikotoka alikuwa topscorer ni kwamba ligi ilimkataa tu. Mfano mzuri ni sancho wa dot na wa man ni watu wawil tofaut
Top scrore afu alishindwa kuifunga ken gold mpaka penalty, unaweza ukapata picha hiyo ligi aliyocheza huko ilikua ni ya level gani
 
Huyo jamaa nilichogundua kwa chuki zake hata game za Yanga uwa aangalii,Yanga ipi inayobutua πŸ˜ƒ,hapo alipo anafananisha uwezo wa aucho na mzamiru πŸ˜‚,dish limeyumba huyo si bure
 
Crew nzima ya yanga ilimsajili sapong na record zake tunazo, je ina maana bodi ya yanga ilikua haijui mpira?
Ushasahau usajili wa lokosa huko mkiani,wewe jamaa kashabikie rede mpira hujui
 
Mkuu unaweza kuthibitisha mwiko uliotumika hapo Ni wa taboo Na sio ule mwiko unaochomekwaga nyuma?
 
Huyo jamaa nilichogundua kwa chuki zake hata game za Yanga uwa aangalii,Yanga ipi inayobutua πŸ˜ƒ,hapo alipo anafananisha uwezo wa aucho na mzamiru πŸ˜‚,dish limeyumba huyo si bure
Utofauti wenu nyinyi yanga ni wepesi kudanganyika, na ndio maana mpaka leo mnaendelea kummhangaika na morison

Mlidanganywa mnachkua ubingwa na kama ikitokea hamjachkua mkamuulize bwana nugaz, mkaamini lakini ubingwa ukaenda msimbazi. Mlimfata nugaz?

Haya kama hiyo haitoshi na goli kipa aliyeletwa mlidanganywa kua ni bora zaidi ana daka gmhadi mishale lakini humu zilifululiza nyuzi za wana yanga wenzako wakilalamika kua jamaa anafungwa magoli mepesi

Now mmeanza kumpaisha aucho, wengine wameenda mbali wakamfananisha mpaka na chama na kusema aucho kamzidi chama

Hizi sifa na tambo hamjaanza leo, kuna tambo gani iliyobamba kama ile ya kumbeba juu juu kalinyo?
 
Ushasahau usajili wa lokosa huko mkiani,wewe jamaa kashabikie rede mpira hujui
Kila naposoma post yako nikiangalia na hiyo avatar napata wakati mgumu sana kuku-picture kwenye utimamu

Lucy eymael aliwaitaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…