Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Top four mwisho wa msimuImeshakamilika, ...hujaiona jana.
1:yanga
2:biashara
3:kmc
4coastal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Top four mwisho wa msimuImeshakamilika, ...hujaiona jana.
Ungesema Sasa "Young Africans, forward forever in our butts there is a wooden spoon"Mkuu, Nimeichukua kauli mbiu ya TIMU kama ilivyo kwa KIMALKIA.
Mimi si mweledi wa lugha iwayo yoyote kati ya KISWAHILI au KIINGEREZA.
Huenda "NEVER" ikatumika kama "KAMWE" au kama kiashiria msisitizo cha "ONYO AU KATAZO" Na wakati mwingine likatumika kama "MWIKO" yaani "TABOO" na kwa upana wa lugha na ukuaji wake pengine ziko tafsiri zaidi ya makumi kwa neno "NEVER" mimi sifahamu.
Samahani, Mkuu wangu!
Sina ufahamu wowote katika LUGHA hizo mbili.
Naomba unichukulie poa.
We jamaa bana. Hivi ni nani asiyejua kuwa timu ya Yanga ilikuwa katika 'transiting process' ambayo kila timu hupitia na muda? Hiko ulichokiweka hapo, ukitoa misimu mitatu nyuma, hali ilikuwa hivyo? Things are not static, two seasons wonder za CL ndo zimekufanya ukawa hapo, only two, so stop acting as if upo level za Al Ahly and co. ambao kwao quarter final is not something to cherish. Kocha akiishia hapo anafukuzwa kabisa.jionee mwenyewe hapa
View attachment 1960720
Na nyie pia mpo ila kwa huku chini mmezidiwa na namungo, wale rivers waliowapiga nje ndani ni wa 2 kutoka mwisho. Unapata picha gani hapo? wewe mwana yanga unapatia wapi nguvu za kusema yanga ni timu kubwa?
View attachment 1960722
Najua unaweza ukahisi nimetunga, nimeweka PDF hapo unaweza jichekia mwenyewe
Yanga tupo vizuri...Top four mwisho wa msimu
1:yanga
2:biashara
3:kmc
4coastal
Wamepigwa mkuu, ngapi hao utopplo?Wapo busy kushadadia simba, ameuza miq na chama...
Wanadhani team yao ndio inakua bora.
Hahaha kiongozi kabisa anasimama na kusema wamepaniwa. Mara motisha zinaharibu timu. Hapohapo wanasahau alichokuwa anafanya Makonda kwa timu opponents na Yanga. Rejelea ishu ya KMC. Ila hapa wamepewa wengine kwao roho zinawauma kwanini wapewe? [emoji23][emoji23]Nilishaachaga kubishana na haya makolo. Hawana point zaidi ya kulazimisha. Wanageuza geuza tu maneno. Mara wanaonewa,mara wachezaji wao wamepaniwa kuumizwa. Visingizio kibao.
Midomo domo yao isiyo na mipaka,mwekezaji wao Mo anajiondoa taratibu. Na wao kama kawaida yao wanajipa matumaini eti ana kazi nyingi. Kumbe mwenzao ndio anawaachia manyoya
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa ule.mpira wa jana unapata balls za kuja kusema Yanga hawachezi vizuri. [emoji23][emoji23] Aisee hakika penzi huondoa akili.Imeshakamilika, ...hujaiona jana.
Wameshapata mbwigaGeita Gold anaupiga mwingi kinoma. Mungu wabariki geita gold wapate point 3 muhimu leo [emoji1317][emoji1317]
Mapenzi upofu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] kwa ule.mpira wa jana unapata balls za kuja kusema Yanga hawachezi vizuri. [emoji23][emoji23] Aisee hakika penzi huondoa akili.
Yanga tupo vizuri......Ni upumbavu unarukaruka twame
Wamepigwa mkuu, ngapi hao utopplo?
Tufanye mpira umeangalia peke yako na timu yako nzuri tufunge mjadala,, hivi we ujiulizi uto wenzio pamoja na kushinda game lkn wanalialia na huwaoni humuUmeaminishwa na nani? Na kwann uaminishwe wakati una macho na mpira unachezwa mbele za watu, sharti lako kutazama? Uaminishwe huna akili?
Simply, hutazami mpira. Unatazama livescore au unasimuliwa then unakuja kumwaga utter shits hapa.
Well said.Quick recovery for Mwamnyeto will be important than anything and play in his role of defending partnership with JOB
In mildified Bangala and Aucho, this mildified partnership will be crucial for the team for those two to play in this role
Feisal should be back at his free role mildified in number 10, where he get the enjoyment of his carrier
I prefer Dickson Ambundo than Deus Kaseke as the replacement for Jesus Moloko
Yacouba Sogne, Fiston Mayele, Heritier Makambo must regain their power of scoring goals
Well played lads and we deserve more goals but let's congrats even for such small win
Poor pre season preparation, poor combination among the players and many new faces in our squad but collect 6points in two games consecutive
Hahaa yani these people bana. They struggle a lot in their own fights but still get balls to comment on Yanga's match as if they look better.Mapenzi upofu mkuu
Untouchable kwenye ugali? maana soka limemkataaMzee, Aucho ni kitu kingine. Untouchable. Achilia mbali LITOMBO 'the versatile player'.
Naona Bocco anaanza fanana na Mugalu. [emoji16] Wanashindana kuyapeleka nje.
Quick recovery for Mwamnyeto will be important than anything and play in his role of defending partnership with JOB
In mildified Bangala and Aucho, this mildified partnership will be crucial for the team for those two to play in this role
Feisal should be back at his free role mildified in number 10, where he get the enjoyment of his carrier
I prefer Dickson Ambundo than Deus Kaseke as the replacement for Jesus Moloko
Yacouba Sogne, Fiston Mayele, Heritier Makambo must regain their power of scoring goals
Well played lads and we deserve more goals but let's congrats even for such small win
Poor pre season preparation, poor combination among the players and many new faces in our squad but collect 6points in two games consecutive
Nijiulize ya nini mzee? Kwani mimi sijatazama? Au sababu wao wanalamika basi na mimi niunge tela?Tufanye mpira umeangalia peke na timu yako nzuri tufunge mjadala,, hivi we ujiulizi uto wenzio pamoja na kushinda game lkn wanalialia na huwaoni humu
Hahah limemkataa likamkubali nani? Uwe unatazama mpira ndugu yangu, sio Simba peke yake, ili ujue wengine wanaendeleaje. Shida unaanza penda timu kisha ndo mpira.Untouchable kwenye ugali? maana soka limemkataa
They deserve more since when? Timu lako bovu miaka minne wewe usiongee ushubwadaNijiulize ya nini mzee? Kwani mimi sijatazama? Au sababu wao wanalamika basi na mimi niunge tela?
Jiulize watu wameshinda na bado wanalamika, why? Because they believe they played better so they deserved more. Mbona simple.