FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

Mkuu, Nimeichukua kauli mbiu ya TIMU kama ilivyo kwa KIMALKIA.

Mimi si mweledi wa lugha iwayo yoyote kati ya KISWAHILI au KIINGEREZA.

Huenda "NEVER" ikatumika kama "KAMWE" au kama kiashiria msisitizo cha "ONYO AU KATAZO" Na wakati mwingine likatumika kama "MWIKO" yaani "TABOO" na kwa upana wa lugha na ukuaji wake pengine ziko tafsiri zaidi ya makumi kwa neno "NEVER" mimi sifahamu.

Samahani, Mkuu wangu!
Sina ufahamu wowote katika LUGHA hizo mbili.
Naomba unichukulie poa.
Ungesema Sasa "Young Africans, forward forever in our butts there is a wooden spoon"
 
jionee mwenyewe hapa
View attachment 1960720

Na nyie pia mpo ila kwa huku chini mmezidiwa na namungo, wale rivers waliowapiga nje ndani ni wa 2 kutoka mwisho. Unapata picha gani hapo? wewe mwana yanga unapatia wapi nguvu za kusema yanga ni timu kubwa?

View attachment 1960722

Najua unaweza ukahisi nimetunga, nimeweka PDF hapo unaweza jichekia mwenyewe
We jamaa bana. Hivi ni nani asiyejua kuwa timu ya Yanga ilikuwa katika 'transiting process' ambayo kila timu hupitia na muda? Hiko ulichokiweka hapo, ukitoa misimu mitatu nyuma, hali ilikuwa hivyo? Things are not static, two seasons wonder za CL ndo zimekufanya ukawa hapo, only two, so stop acting as if upo level za Al Ahly and co. ambao kwao quarter final is not something to cherish. Kocha akiishia hapo anafukuzwa kabisa.

Kwa Namungo amecheza recently michuano ya kimataifa na tunajua how corona worked on their side. Lucky charm. Form is temporary mzee. Let them did the same then uje kuongea hapa.
 
Nilishaachaga kubishana na haya makolo. Hawana point zaidi ya kulazimisha. Wanageuza geuza tu maneno. Mara wanaonewa,mara wachezaji wao wamepaniwa kuumizwa. Visingizio kibao.

Midomo domo yao isiyo na mipaka,mwekezaji wao Mo anajiondoa taratibu. Na wao kama kawaida yao wanajipa matumaini eti ana kazi nyingi. Kumbe mwenzao ndio anawaachia manyoya
Hahaha kiongozi kabisa anasimama na kusema wamepaniwa. Mara motisha zinaharibu timu. Hapohapo wanasahau alichokuwa anafanya Makonda kwa timu opponents na Yanga. Rejelea ishu ya KMC. Ila hapa wamepewa wengine kwao roho zinawauma kwanini wapewe? [emoji23][emoji23]
 
Quick recovery for Mwamnyeto will be important than anything and play in his role of defending partnership with JOB

In mildified Bangala and Aucho, this mildified partnership will be crucial for the team for those two to play in this role

Feisal should be back at his free role mildified in number 10, where he get the enjoyment of his carrier

I prefer Dickson Ambundo than Deus Kaseke as the replacement for Jesus Moloko

Yacouba Sogne, Fiston Mayele, Heritier Makambo must regain their power of scoring goals

Well played lads and we deserve more goals but let's congrats even for such small win

Poor pre season preparation, poor combination among the players and many new faces in our squad but collect 6points in two games consecutive
 
Umeaminishwa na nani? Na kwann uaminishwe wakati una macho na mpira unachezwa mbele za watu, sharti lako kutazama? Uaminishwe huna akili?

Simply, hutazami mpira. Unatazama livescore au unasimuliwa then unakuja kumwaga utter shits hapa.
Tufanye mpira umeangalia peke yako na timu yako nzuri tufunge mjadala,, hivi we ujiulizi uto wenzio pamoja na kushinda game lkn wanalialia na huwaoni humu
 
Quick recovery for Mwamnyeto will be important than anything and play in his role of defending partnership with JOB

In mildified Bangala and Aucho, this mildified partnership will be crucial for the team for those two to play in this role

Feisal should be back at his free role mildified in number 10, where he get the enjoyment of his carrier

I prefer Dickson Ambundo than Deus Kaseke as the replacement for Jesus Moloko

Yacouba Sogne, Fiston Mayele, Heritier Makambo must regain their power of scoring goals

Well played lads and we deserve more goals but let's congrats even for such small win

Poor pre season preparation, poor combination among the players and many new faces in our squad but collect 6points in two games consecutive
Well said.

The more we move on, the more we catch the rythm and gain momentum. Finishing has been a little faulty, obviously it is something that we have to work upon. Mayele has to be sharper. Yacouba has already proven to not have an eye for a goal, we just need his movements.
 
Mzee, Aucho ni kitu kingine. Untouchable. Achilia mbali LITOMBO 'the versatile player'.

Naona Bocco anaanza fanana na Mugalu. [emoji16] Wanashindana kuyapeleka nje.
Untouchable kwenye ugali? maana soka limemkataa
 
Quick recovery for Mwamnyeto will be important than anything and play in his role of defending partnership with JOB

In mildified Bangala and Aucho, this mildified partnership will be crucial for the team for those two to play in this role

Feisal should be back at his free role mildified in number 10, where he get the enjoyment of his carrier

I prefer Dickson Ambundo than Deus Kaseke as the replacement for Jesus Moloko

Yacouba Sogne, Fiston Mayele, Heritier Makambo must regain their power of scoring goals

Well played lads and we deserve more goals but let's congrats even for such small win

Poor pre season preparation, poor combination among the players and many new faces in our squad but collect 6points in two games consecutive

Mtani baada ya mechi sita,najua utaandika kwa kiswahili kilichonyooka ukiwa umechafukwa kwa hasira.Hii ya leo ndiyo Yanga sasa ya siku zote,ile mliyotufunga ilikuwa Yanga ya Ostaadhi, naona na upande wa Arsenal mnakwenda mdogo mdogo,ukiona taabu karibu kwetu Darajani ufurahie maisha ya Ubingwa wa CL[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tufanye mpira umeangalia peke na timu yako nzuri tufunge mjadala,, hivi we ujiulizi uto wenzio pamoja na kushinda game lkn wanalialia na huwaoni humu
Nijiulize ya nini mzee? Kwani mimi sijatazama? Au sababu wao wanalamika basi na mimi niunge tela?

Jiulize watu wameshinda na bado wanalamika, why? Because they believe they played better so they deserved more. Mbona simple.
 
Untouchable kwenye ugali? maana soka limemkataa
Hahah limemkataa likamkubali nani? Uwe unatazama mpira ndugu yangu, sio Simba peke yake, ili ujue wengine wanaendeleaje. Shida unaanza penda timu kisha ndo mpira.
 
Nijiulize ya nini mzee? Kwani mimi sijatazama? Au sababu wao wanalamika basi na mimi niunge tela?

Jiulize watu wameshinda na bado wanalamika, why? Because they believe they played better so they deserved more. Mbona simple.
They deserve more since when? Timu lako bovu miaka minne wewe usiongee ushubwada
 
Back
Top Bottom