Kuna yule wana mfananisha na pogba aisee hamna kitu kawaida saanaMayele [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Wachambuzi wa Bongo wakikuchambulia Mayele Ukiangalia Na Anachofanya Ni Vitu Viwili Tofauti [emoji28][emoji28][emoji28]
Kipindi cha pili watarudi na confidence baada ya kuona kumbe hawa ni wadogo tu kama waoshida wanapiteza mipira muhimu saana
Haa HaaMayele [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Wachambuzi wa Bongo wakikuchambulia Mayele Ukiangalia Na Anachofanya Ni Vitu Viwili Tofauti [emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa hapo kocha anahusika vipi ulitaka kocha ashike mguu wa yacouba?Yocouba kama kawaida yake yeye na kipa tu kakosa goli. Kocha ovyo sana
Yap ni kweli, hata management yake nadhani ililiona hilo na ndo maana yupo mahala sahihiYacouba hafai kucheza timu kubwa anakera vibaya mno
Mayele [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Wachambuzi wa Bongo wakikuchambulia Mayele Ukiangalia Na Anachofanya Ni Vitu Viwili Tofauti [emoji28][emoji28][emoji28]
Upo sahihi MkuuHata goli la kwanza ni uzembe wake wa kushindwa kumkaba Yacuba, Alikuwa anauwezo mkubwa 99% ya kumzuia asiende
Wachambuzi wabongo hawachambui soka kulingana na skills za mchezaji, wanachambua kulingana na matokeo yaliyopatikanaMayele [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Wachambuzi wa Bongo wakikuchambulia Mayele Ukiangalia Na Anachofanya Ni Vitu Viwili Tofauti [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1320][emoji1320]Kipindi cha pili watarudi na confidence baada ya kuona kumbe hawa ni wadogo tu kama wao
Umesema timu kubwa, yes hafai. Alipo sasa ndipo panapomfaaYacouba hafai kucheza timu kubwa anakera vibaya mno
Katika tafsiri hii, mwiko iko wapi hapo?Young Africans Sports Club "Forward Ever Backward Never".
GSM katengeneza kinywaji kipya ndani yake kaweka valium kisha kawapa geita gold kama ku show love kwenye soka na wao hawakustuka ila hali ndo hiyo wachezaji wamesizi lakini bado kina Aucho wanaonekana mizigoHizi Timu ndogo sijui kwanini huwa zinashimdwa kusajili watu wakufanya maamuzi, Hawa Watoto wanatengeneza Mshambulizi Mazuri Ila wakifika Mbele wanabadirika Ghafla, Labda ni Ugeni wa kucheza Usiku.
Kumbuka hata mesi na Cr7 pamoja ya kuwa ni washambuliaji bora lakini wameshakosa magoli ya wazi mara nyingi. Hakuna forward asiyekosa nafasi za waziMayele [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Wachambuzi wa Bongo wakikuchambulia Mayele Ukiangalia Na Anachofanya Ni Vitu Viwili Tofauti [emoji28][emoji28][emoji28]