FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

Aucho vipi huko mbona hasikiki, hayupo kikosini au bado ana mbwera kama kawaida yake?
 
Hizi Timu ndogo sijui kwanini huwa zinashimdwa kusajili watu wakufanya maamuzi, Hawa Watoto wanatengeneza Mshambulizi Mazuri Ila wakifika Mbele wanabadirika Ghafla, Labda ni Ugeni wa kucheza Usiku.
 
Mayele [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Wachambuzi wa Bongo wakikuchambulia Mayele Ukiangalia Na Anachofanya Ni Vitu Viwili Tofauti [emoji28][emoji28][emoji28]
Wachambuzi wabongo hawachambui soka kulingana na skills za mchezaji, wanachambua kulingana na matokeo yaliyopatikana

Timu hata kama imecheza vizuri kwa kiwango kikubwa kuliko timu pinzani iliyoshinda kwa penalty, wachambuzi wote watakua upande wa hiyo timu iliyoshinda
 
Hizi Timu ndogo sijui kwanini huwa zinashimdwa kusajili watu wakufanya maamuzi, Hawa Watoto wanatengeneza Mshambulizi Mazuri Ila wakifika Mbele wanabadirika Ghafla, Labda ni Ugeni wa kucheza Usiku.
GSM katengeneza kinywaji kipya ndani yake kaweka valium kisha kawapa geita gold kama ku show love kwenye soka na wao hawakustuka ila hali ndo hiyo wachezaji wamesizi lakini bado kina Aucho wanaonekana mizigo
 
Let's go back to the another half Dar es Salaam Young Africans
 
Mayele [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Wachambuzi wa Bongo wakikuchambulia Mayele Ukiangalia Na Anachofanya Ni Vitu Viwili Tofauti [emoji28][emoji28][emoji28]
Kumbuka hata mesi na Cr7 pamoja ya kuwa ni washambuliaji bora lakini wameshakosa magoli ya wazi mara nyingi. Hakuna forward asiyekosa nafasi za wazi
 
Back
Top Bottom