FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

Yanga wamefunga goli moja Geita gold wakikutana na Prisoner,Polisi,Azamu n.k.
 
Katika tafsiri hii, mwiko iko wapi hapo?
Mkuu, Nimeichukua kauli mbiu ya TIMU kama ilivyo kwa KIMALKIA.

Mimi si mweledi wa lugha iwayo yoyote kati ya KISWAHILI au KIINGEREZA.

Huenda "NEVER" ikatumika kama "KAMWE" au kama kiashiria msisitizo cha "ONYO AU KATAZO" Na wakati mwingine likatumika kama "MWIKO" yaani "TABOO" na kwa upana wa lugha na ukuaji wake pengine ziko tafsiri zaidi ya makumi kwa neno "NEVER" mimi sifahamu.

Samahani, Mkuu wangu!
Sina ufahamu wowote katika LUGHA hizo mbili.
Naomba unichukulie poa.
 
Yanga tatizo la ufungaji bado liko pale pale, huwezi ukatengeneza fursa za kufunga zaidi ya sita kisha unaishia kufunga goli moja tena kwa mbinde.

Huyo Yakouba sijui ni kwa nini kocha anang'ang'ania kumchezesha hata pale inapodhihirika kwamba anapoteza mno fursa nyingi za kufunga mabao. Hii ndio shida kubwa ya makocha.
 
Yanga mpo vizuri bwana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…