Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Makambooo😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DadavuaDjuma keshamaliza msimu
Bado goli 4 Yanga wasitutanie[emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu, Nimeichukua kauli mbiu ya TIMU kama ilivyo kwa KIMALKIA.Katika tafsiri hii, mwiko iko wapi hapo?
Yanga wamefunga goli moja Geita gold wakikutana na Prisoner,Polisi,Azamu n.k.
Makolo tuliwaweka ngapi?Yanga wamefunga goli moja Geita gold wakikutana na Prisoner,Polisi,Azamu n.k.
Hii ya leo sasa ndio yanga ila iliyocheza na simba ilikuwa boosted na mgangaAliwazalo mjinga ndio litakalomtokea
kapaisha kama kawaida yake?Makambooo😂😂😂
Yanga mpo vizuri bwana..Yanga tatizo la ufungaji bado liko pale pale, huwezi ukatengeneza fursa za kufunga zaidi ya sita kisha unaishia kufunga goli moja tena kwa mbinde.
Huyo Yakouba sijui ni kwa nini kocha anang'ang'ania kumchezesha hata pale inapodhihirika kwamba anapoteza mno fursa nyingi za kufunga mabao. Hii ndio shida kubwa ya makocha.