FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

Suala sio kufungwa,, timu inacheza kama tulivyoaminishwa na viongozi/wachambuzi uchwara?,, kwa pira hili la leo we umeona kuna tofauti gani kati ya yanga hii inayopambwa na gazeti la mwananchi na friends rangers ya kagera mikoroshini
Umeaminishwa na nani? Na kwann uaminishwe wakati una macho na mpira unachezwa mbele za watu, sharti lako kutazama? Uaminishwe huna akili?

Simply, hutazami mpira. Unatazama livescore au unasimuliwa then unakuja kumwaga utter shits hapa.
 
Kawaulize wenzio wanaotoa povu huko pamoja na kupata ushindi
Niwaulize kwani mimi sijatazama mpira? Au wadhani kila mtu ni fuata upepo like you.

Nimetazama mpira na timu imecheza. Kilichokuwapo ni umakini kwenye umaliziaji. Only. Unaowaona wanaongea ni wameumizwa sababu timu imecheza vizuri na ilistahili kupata magoli zaidi ya hilo. If you are against it, leta stats hapa.
 
Kwa kiwango cha timu yako hiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmmhhhmmmmmmmmm hamna maajabu ni kile kile cha miaka 4 iliyopita hakuna maajabu
Kwa kiwango cha timu yako wewe, mpo wapi saa hii?
 
Kama Mugalu
Daah poleni sana bora sisi tunaye mmoja ila nyie na yacouba naye naskia kaambukizwa na makambo sijui mna dili vipi na huo msala

Vipi kiwango cha Aucho ni kile alichokionesha juzi au karudi to the default kama tunavyomjua?
 
Mzee, Aucho ni kitu kingine. Untouchable. Achilia mbali LITOMBO 'the versatile player'.

Naona Bocco anaanza fanana na Mugalu. [emoji16] Wanashindana kuyapeleka nje.
 
Yako imekuwa bora?
jionee mwenyewe hapa

Na nyie pia mpo ila kwa huku chini mmezidiwa na namungo, wale rivers waliowapiga nje ndani ni wa 2 kutoka mwisho. Unapata picha gani hapo? wewe mwana yanga unapatia wapi nguvu za kusema yanga ni timu kubwa?

Najua unaweza ukahisi nimetunga, nimeweka PDF hapo unaweza jichekia mwenyewe
 
Attachments

Simba hatuna cha kuprove tena kwenye ligi, mara nne mfululizo....
Ubingwa unachosha sasa, tunatengeneza team mpya kwa ajili ya champions league.
Wewe ndio unapaswa kuwaza ubingwa wa ligi.
[emoji23][emoji23] hiyo timu mpya unayoitengeneza inakamilika lini? Maana naona ushatengeneza 'an excusing umbrella', ndo hii inaenda kwenye champions league au una nyingine mzee? Na hiyo timu unaitengenezea wapi kama sio huku kwenye league?
 
Mzee hatujacheza ila tupo kwenye nafasi za wakubwa na sisi wakubwa hatushindwi upo bado kunibishia.. ?
Shida ni kwamba you dwell in the past paradise! Upo hapo sababu ya msimu ulopita, na sasa you are nothing compared to last season mzee. Au unadhani wewe timu imekaa vilevile? Ngoja inyeshe ujue inavuja wapi..
 
Umeaminishwa na nani? Na kwann uaminishwe wakati una macho na mpira unachezwa mbele za watu, sharti lako kutazama? Uaminishwe huna akili?

Simply, hutazami mpira. Unatazama livescore au unasimuliwa then unakuja kumwaga utter shits hapa.
Nilishaachaga kubishana na haya makolo. Hawana point zaidi ya kulazimisha. Wanageuza geuza tu maneno. Mara wanaonewa,mara wachezaji wao wamepaniwa kuumizwa. Visingizio kibao.

Midomo domo yao isiyo na mipaka,mwekezaji wao Mo anajiondoa taratibu. Na wao kama kawaida yao wanajipa matumaini eti ana kazi nyingi. Kumbe mwenzao ndio anawaachia manyoya
 
[emoji23][emoji23] hiyo timu mpya unayoitengeneza inakamilika lini? Maana naona ushatengeneza 'an excusing umbrella', ndo hii inaenda kwenye champions league au una nyingine mzee? Na hiyo timu unaitengenezea wapi kama sio huku kwenye league?
Imeshakamilika, ...hujaiona jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…