SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Umeaminishwa na nani? Na kwann uaminishwe wakati una macho na mpira unachezwa mbele za watu, sharti lako kutazama? Uaminishwe huna akili?Suala sio kufungwa,, timu inacheza kama tulivyoaminishwa na viongozi/wachambuzi uchwara?,, kwa pira hili la leo we umeona kuna tofauti gani kati ya yanga hii inayopambwa na gazeti la mwananchi na friends rangers ya kagera mikoroshini
Simply, hutazami mpira. Unatazama livescore au unasimuliwa then unakuja kumwaga utter shits hapa.