Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
TAKUKURU fuatilieni Yanga. Mechi ya pili hii wachezaji wa timu pinzani wanafanya makosa ya kimakusudi.
Haya maneno yenu tumeshayazoea. Pigeni kelele weeeh! Mwisho wa msimu, wananchi wananyanyua makwapa kwa mara nyingine tena.Mpoki man of the match.Kaona muamala unachelewa kaamua kufunga mwenyewe.
Bakora zimeanza baada ya mpira Uwanja wa Mkapa.Wenzako hawana imani.Hii tia maji tia maji haitamalizika vizuri.Haya maneno yenu tumeshayazoea. Pigeni kelele weeeh! Mwisho wa msimu, wananchi wananyanyua makwapa kwa mara nyingine tena.
Uto mmeshinda bila kufunga goli. Mimi nadhani mtaendelea hivi hivi kwa magoli ya namna hii hadi ligi inaisha na ubingwa hampati.Hatujafunga goli
anasubiri apewe 700M yake arudi EPLHivi saizi atakuwa yupo wapi katika safari yake ya kuondoka?
Wasingerahisisha muamala mambo yangekuwa magumu.Mshukuruni Mpoki.Yanga leo 😓😓😓😓 Ruvu asingejifunga tungetoka mswaki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Dah
Sasa na nyinyi si mtoe hizo bahasha! Au zile bilioni 20 za mwekezaji, ni kwa ajili ya safari za Dubai tu!!Timu Bahasha hadi watu wakifungwa wenyewe
Tunaogopa dhambi mkuuSasa na nyinyi si mtoe hizo bahasha! Au zile bilioni 20 za mwekezaji, ni kwa ajili ya safari za Dubai tu!!
Sisi tunashinda kimpira.Hatununui.Hivi hushangai kila timu ikicheza na Simba lazima ziwekwe milioni 30?Unafikiri zinatoka wapi kama sio GSM?Sasa na nyinyi si mtoe hizo bahasha! Au zile bilioni 20 za mwekezaji, ni kwa ajili ya safari za Dubai tu!!
Mwakinyuki achunguzweTimu Jangwani Fc leo jua la jangwa limewawakia
Mmh! Squad Formation ya Yanga ni 4-4-2 [emoji3]?Imagine! Na Leo squad yote ilikuwa ndani...
Shame
Kwani Manula kaishamaliza kuchunguzwa? Tumalize la Manula kisha ndio tuhamie kwa Mwakinyuki. Kilichomponza Mwakinyuki ni kuhakikisha Musonda hapati goliMwakinyuki achunguzwe
Uchunguzi uanzie kwa Aish ManulaTAKUKURU fuatilieni Yanga. Mechi ya pili hii wachezaji wa timu pinzani wanafanya makosa ya kimakusudi.
Dah wewe ndio tafsiri haswa ya migongo wazi.Kwani Manula kaishamaliza kuchunguzwa? Tumalize la Manula kisha ndio tuhamie kwa Mwakinyuki. Kilichomponza Mwakinyuki ni kuhakikisha Musonda hapati goli
Kwanzia ufatilie mpira ukiachan na soka la Tanzania, je hukuwahi kuona wachezaji wakijifunga?Dah wewe ndio tafsiri haswa ya migongo wazi.
Hakuna kilichomponza zaidi ya Bahasha tuKwani Manula kaishamaliza kuchunguzwa? Tumalize la Manula kisha ndio tuhamie kwa Mwakinyuki. Kilichomponza Mwakinyuki ni kuhakikisha Musonda hapati goli
Sijui huwa unawashwa nini na Mimi we mama[emoji848][emoji848][emoji848]Hizi stress haziwezi kumalizwa hapa JF,hebu take time urekebishe ulipokosea kwenye maisha mengine nnje ya huu utani wa Simba na Yanga [emoji5][emoji5]