FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 1-0 Ruvu Shooting: Uwanja wa Mkapa, 23/01/2023

Hutu kipa kafanya save moja matata sana
 
siku hizi ukishika makusudi kumbe hakuna kadi
 
Nme pita apa nasikia radio uyu mtangazaji sija muelewa kabsa mna hakika ni mtangazaji
 
Una gubu si la kawaida, stress zako zote huwa unakuja kuzimalizia hapa kwa kujifichia kwenye utani.
Mwenye stress awe Mimi? Khalakhabao bibi wewe, hebu nenda kasali salamu maria kumi ukalale nitolee laana zako Mimi[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…