Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Mayele kawakosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Timu yangu ya utotoni ruvu Shooting kila la kheri
Ukiweka ushabiki pembeni utauona huo mvutounavutia vp yaani
hadi sasa ajafika golini iwe la kulenga ama shuti la pembeni
hana kona
kumiliki anazidiwa
anavutia vp
Hayo ni zaidi ya makengeza, yaani ball possession 71 kwa 29 ndiyo wanacheza vizuri.Mbona hamsemi kuwa Ruvu wanacheza vizuri kuliko nyinyi?
Hili nalo la kulifanya siri?
Watu hasira zote humalizia hapa kwa mgongo wa utani hahahahUna gubu si la kawaida, stress zako zote huwa unakuja kuzimalizia hapa kwa kujifichia kwenye utani.
mvuto wanapigwa chenga kama watoto, mkuu ama ndo ugonjwa wa kupenda vitu vibovuUkiweka ushabiki pembeni utauona huo mvuto
Uache kiherehere chako maana utazidi kuumbukaKwa hiyo nikusaidie nini
Wewe hapo unataka nikusaidie nini, sema!!Uache kiherehere chako maana utazidi kuumbuka
Mwenye stress awe Mimi? Khalakhabao bibi wewe, hebu nenda kasali salamu maria kumi ukalale nitolee laana zako Mimi[emoji23][emoji23]Una gubu si la kawaida, stress zako zote huwa unakuja kuzimalizia hapa kwa kujifichia kwenye utani.