mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
- Thread starter
-
- #81
Musonda kasajiliwa kwaajili ya kuwa backup ya Mayele. Mayele kaishatengeneza ufalme wake ndani ya Yanga. Na kocha alishaona mfumo wa kucheza na washambuliaji wawili hauna manufaa kwa YangaNaomuna Musonda anachoma mwindi
Wapii mpo wakati yanga imejaa wakina mpili hawana hats simuMi Nazani washabiki wengi wa Simba ni waoga hautowaona kwenye nyuzi za Yanga [emoji617] Kwa sababu wanajua Yanga lazima washinde. Tofauti na sisi wa Yanga ambao tunavamia nyuzi zao mwanzo mwisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Timu inadhaminiwa na gsm halafu unajizima data unaifanya Simba B ili usifiwe ukiifunga sio?Nawaonea huruma sana hawa Simba B, watapigwa kama panya road.. Goal machine Fiston Mayele[emoji460][emoji460], Kennedy Musonda[emoji460][emoji460], Aziz K[emoji460], kiufupi naziona kama goli 6 hivi leo
Nyie siku hizi mmebadilisha style miamala mnatuma kwa wachezaji na ndio maana jana Kagere kakosa nafasi mbili ya wazi huku mpira wakutoa Assist akipiga nje.Timu inadhaminiwa na gsm halafu unajizima data unaifanya Simba B ili usifiwe ukiifunga sio?
Timu yenu mbovu ni vile inabebwa sana na waamuzi.Mchezaji wenu akijiangusha tu mnapewa faulo.
Hadi dk ya 43 yanga wameshindwa kulenga goli
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Assist ya Munish golikipa wa NamungoGooooal Aziz Ki
Kwahyo sio goli?
Kipa sio ManulaBoth teams to Score...
Mngekuwa bora msingekuwa mmeachwa gape la points 6. Ungekuwa unaongoza ligi na hayo magoli yako.Namungo hawa wa leo wangekuwa washakula 6 kwa mnyama mpaka muda huu.
Kunywa pain killer.Timu inadhaminiwa na gsm halafu unajizima data unaifanya Simba B ili usifiwe ukiifunga sio?
Timu yenu mbovu ni vile inabebwa sana na waamuzi.Mchezaji wenu akijiangusha tu mnapewa faulo.
Hadi dk ya 43 yanga wameshindwa kulenga goli
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Tusha wazoea haya manenoTimu inadhaminiwa na gsm halafu unajizima data unaifanya Simba B ili usifiwe ukiifunga sio?
Timu yenu mbovu ni vile inabebwa sana na waamuzi.Mchezaji wenu akijiangusha tu mnapewa faulo.
Hadi dk ya 43 yanga wameshindwa kulenga goli
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Tulia ww utoMngekuwa bora msingekuwa mmeachwa gape la points 6. Ungekuwa unaongoza ligi na hayo magoli yako.
Kwani Yanga inacheza na Namungo wakiwa pungufu?Namungo hawa wa leo wangekuwa washakula 6 kwa mnyama mpaka muda huu.
Tulia wewe unayewashwa na mambo ya wengine. Mbumbu.Tulia ww uto