FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 2-0 Namungo F.C: Uwanja wa Mkapa, 04/02/2023

Naomuna Musonda anachoma mwindi
Musonda kasajiliwa kwaajili ya kuwa backup ya Mayele. Mayele kaishatengeneza ufalme wake ndani ya Yanga. Na kocha alishaona mfumo wa kucheza na washambuliaji wawili hauna manufaa kwa Yanga
 
Mi Nazani washabiki wengi wa Simba ni waoga hautowaona kwenye nyuzi za Yanga [emoji617] Kwa sababu wanajua Yanga lazima washinde. Tofauti na sisi wa Yanga ambao tunavamia nyuzi zao mwanzo mwisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapii mpo wakati yanga imejaa wakina mpili hawana hats simu
 
Nawaonea huruma sana hawa Simba B, watapigwa kama panya road.. Goal machine Fiston Mayele[emoji460][emoji460], Kennedy Musonda[emoji460][emoji460], Aziz K[emoji460], kiufupi naziona kama goli 6 hivi leo
Timu inadhaminiwa na gsm halafu unajizima data unaifanya Simba B ili usifiwe ukiifunga sio?

Timu yenu mbovu ni vile inabebwa sana na waamuzi.Mchezaji wenu akijiangusha tu mnapewa faulo.

Hadi dk ya 43 yanga wameshindwa kulenga goli

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Nyie siku hizi mmebadilisha style miamala mnatuma kwa wachezaji na ndio maana jana Kagere kakosa nafasi mbili ya wazi huku mpira wakutoa Assist akipiga nje.

Wawa na Urefu wake mipira yote miwili mirefu ya faulo hata kucheza anashindwa.

Uzuri namba za Kagere na Wawa mnazo.
 
Timu inadhaminiwa na gsm halafu unajizima data unaifanya Simba B ili usifiwe ukiifunga sio?

Timu yenu mbovu ni vile inabebwa sana na waamuzi.Mchezaji wenu akijiangusha tu mnapewa faulo.

Hadi dk ya 43 yanga wameshindwa kulenga goli

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kunywa pain killer.

Kama unadhani kazi ilokushinda wewe wataiweza wengine, unastahili pole.
 
Timu inadhaminiwa na gsm halafu unajizima data unaifanya Simba B ili usifiwe ukiifunga sio?

Timu yenu mbovu ni vile inabebwa sana na waamuzi.Mchezaji wenu akijiangusha tu mnapewa faulo.

Hadi dk ya 43 yanga wameshindwa kulenga goli

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Tusha wazoea haya maneno
 
Back
Top Bottom