FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 2-0 Namungo F.C: Uwanja wa Mkapa, 04/02/2023

FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 2-0 Namungo F.C: Uwanja wa Mkapa, 04/02/2023

Sawa kabisa
20230204_112528.jpg
 
Wananchi [emoji617] huwa wanafeli hapo tu. Kwenye mambo kama haya Simba mmetuzidi, yaani hata kuanzisha hizi nyuzi za live updates wakati mwingine Huwa mnatuanzishia kutokana na ubaridi wetu[emoji23][emoji23]
Simba huwa wanazianzisha, ila Yanga wakipata matokeo, mwanzisha uzi hutelekeza uzi wake na kukimbilia maporini.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom