FT: Ligi ya NBC: KMC 0 vs 1 Yanga S.C: Uwanja wa Benjamin Mkapa, 22/02/2023

Hata mbeya kwanza wakicheza na Ihefu, thread haiwezi kupoa kama hivi
 
Yanga wanacheza kichovu sana, sijui nao wana plan ya kushona sare ya kwendea huko Mali[emoji848]
 
Mechi gani sasa hii imepoa kama uji wa mtoto

Bora niingie Netflix
 
Mfa maji hakosi kutapa tapa, usipoteze muda kujibizana na pimbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…