Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Utakuwa ndiyo kwanza unaanza kufuatilia leo mechi ya Yanga, hujawahi kuwa muangaliaji wa mpira wa Tanzania,na humjui Kisu
Kama manula anapokea bahasha ya Azam
Ndiyomaana Kanoute jana hakupewa kadi nyekundu sababu ya bahasha zenu Makolokolo [emoji1]Bahasha FCView attachment 2526369
Acha kubwabwaja wewe utoMpira ni mchezo wa makosa ila makosa yakifanywa dhidi ya Yanga ni bahasha. Ila makosa yakifanywa dhidi timu yenu ya Simba hamuimbi wimbo wa bahasha. Jana mchezaji wa Azam kafanya kosa la kupiga kichwa mpira golini kwake na kuingia wavuni kulikuwa na bahasha?
Kama simba alivyochukua janaKMC chukueni hela msepe
Uzi hauongezi mashabulizi!Hata mbeya kwanza wakicheza na Ihefu, thread haiwezi kupoa kama hivi
Leo Siku ya Kazi,watu wengi wapo mashambaniHata mbeya kwanza wakicheza na Ihefu, thread haiwezi kupoa kama hivi
Kwa akili hizi mtaendelea kutawaliwa na Mangungu mpka mzeeke
Huyu hapa beki wa Azam Akiweka mpira golini kwake ili Simba iepuke kipigoAcha kubwabwaja wewe uto
huoni mimi nimekuja na picha ya ushahidi.
Simba tunatumia uwezo wetu ndio maana tunakamiwa na vitimu vidogo sio bahasha na rubber band
Kolowizards likiwa linateseka raha sana kwa sisi Mashabiki wa Yanga [emoji16]Leo ni droo tuu hakuna jipya
Wana tabia za kike hawa jamaa kila kitu wanataka mashindano, wapewe kombe la thread sasaLeo Siku ya Kazi,watu wengi wapo mashambani
Una week ngumu sanaLeo ni droo tuu hakuna jipya
Simba mmekuwa wapumbavu kabisa 😅.. Nani alikwambia kila timu inayofungwa na yanga mchezajj anachukua bahasha?. Mbona mechi zenu hamsemi kuchukua hizo bahasha?, Kuna nyakati msikomaze mishipa ya kunduziii zenu kwa vitu vilivyo wazi... Jinga waheedi.
Apo lilipigwa pira "utatoa utoi"Huyu hapa beki wa Azam Akiweka mpira golini kwake ili Simba iepuke kipigoView attachment 2526382
Kaepuka Kadi 2 nyekundu halali.Ndiyomaana Kanoute jana hakupewa kadi nyekundu sababu ya bahasha zenu Makolokolo [emoji1]
Maneno ya mfa maji mkuu achana nao. Kwanza sisi ndio tunajaza thread zao, na wao huwezi kuwaona humu maana wanajua Yanga lazima ishinde na ushindi wa Yanga kwao ni maumivuWana tabia za kike hawa jamaa kila kitu wanataka mashindano, wapewe kombe la thread sasa
Tega kinyeo na wewe kama unataka bahasha!!.Bahasha FCView attachment 2526369
Kwa hiyo kwa akili zako za kuvukia barabara, hiyo picha ndio ushahidi wa Yanga kushinda kwa bahasha? Kama ni mzazi basi wanao wana mtihani wa kumpata mzazi wa dizaini yako. Haya tupe basi na ushahidi wa bahasha za TP Mazembe, Monastir, Azam na nyie wenyewe Simba tulizowapa ili Yanga ipate matokeo.Acha kubwabwaja wewe uto
huoni mimi nimekuja na picha ya ushahidi.
Simba tunatumia uwezo wetu ndio maana tunakamiwa na vitimu vidogo sio bahasha na rubber band