FT: Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad (Agg: 3-2)AC | African Football League Final | 2nd Leg | Loftus Versfeld Stadium | 12.11.2023. Mamelodi bingwa

FT: Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad (Agg: 3-2)AC | African Football League Final | 2nd Leg | Loftus Versfeld Stadium | 12.11.2023. Mamelodi bingwa

Yanga katika safari yetu ya kufika fainali ya caf champions league msimu huu.

Tunapiga wote walioshiriki bonanza la kusema washiriki wote wanaanzia robo.

Ujinga mtupu ni Mashindano gani yanaanziaga robo fainali?
Hilo ni bonanza ndilo huwa linaanzia robo!
 
Hii game bado mbichi, mamelody inawalazimu kutafuta goli la 3 kujihakikishia ubingwa.

Wydad wakipata goli wanakuwa sawa kwa magoli.
 
Bado game mbichi, mamelody inawalazimu kutafuta goli la 3 kujihakikishia ubingwa.

Wydad wakipata goli wanakuwa sawa kwa magoli.
Yes. Wakipata goli wanaanza upya au penati kbs. Hawa Wydad sio wa kwenda nao penati, wana ngekewa nazo.
 
Maji na mafuta yanajitenga hapa kuna mtu mmoja ameenda na mbwembwe nyingi sana huko kuamini najaribu kuzoom hapa simuoni
F-vYCZJXMAA3b8E.jpeg
 
Mwarabu amekumbuka shuka alfajir sema akaze anaweza pata kitu
mungu ibariki mamelod
 
Huyu mudau ........ni noma sana

Ni hazina ya beki wa kiafrika [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom