Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Nawaombea MamelodiMamelodi wakikomaa watachukua naona waarabu walianza kuleta mzaha ila najua wote wameenda kujipanga ngoja tuone kipindi cha pili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaombea MamelodiMamelodi wakikomaa watachukua naona waarabu walianza kuleta mzaha ila najua wote wameenda kujipanga ngoja tuone kipindi cha pili
Viwanja vyote south Africa inamilikiwa na serekali ya saJamani kuuliza sio ujinga huu uwanja wanaochezea fainali unamilikiwa na mamelod
Huko Serikali ipo 24/7Mkiambiwa mhamie Dodoma hamtaki mnasema huku ni Jangwani, Dodoma Ni kama New york umeme huwa haukatiki Hovyo
Na kuna mijitu itawashangilia makaburu hapa.Kuna mijitu iatawashangilia waarabu hapa
Mie pia!Nawaombea Mamelodi
Naona wamerudisha 🤠! Kila la kheri Mamelodi
Itakuwa wanasimba wachache ambao wanaomba Mamelodi afe ili wajifariji kwa kutolewa kaa Al Ahyl na MamelodiKuna mijitu iatawashangilia waarabu hapa
Huko Serikali ipo 24/7
Hawawezi kata umeme ovyo ovyo
Itabidi nirelocate Dodomakabsa kama huu Mtaa naoishi huku hatujawah kukatiwa umeme huku tangu Mwaka umeanza, na ni maeneo mengi tu huwa haukatiki na Maeneo mengne ukikatika hata Dakika 30 huwa hazipiti umeme unaludi.
WamejiongezaNaona waydad wahawapotezi muda tena
Almanusura nini?almanusra..