Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,295
- 2,973
Mamelod 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SundownsMamelodi la piliiiiiiiiiii🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
AahaaaaaJamaa kafunga kama Benzema
kwamba ilibaki kidogo tuAlmanusura nini?
Poakwamba ilibaki kidogo tu
Sio MusondaJamaa kafunga kama Benzema
Akina nani tena haoooHapa Wydad naona kama kitamkuta kilicho wakuta jamaa zetu wiki iliyopita Jpili.
Wakileta unazi wanakula tu kono la nyani. Al Ahly ashalizoeaga hilo akicheza sauzi.Hapa Wydad naona kama kitamkuta kilicho wakuta jamaa zetu wiki iliyopita Jpili.
Kikubwa wasiruhusu goli la ugeniniMamelodi inabidi ampige huyu Wydad goal nyingi amfunge mdomo
hizi 2 hazitoshi