FT: Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad (Agg: 3-2)AC | African Football League Final | 2nd Leg | Loftus Versfeld Stadium | 12.11.2023. Mamelodi bingwa

FT: Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad (Agg: 3-2)AC | African Football League Final | 2nd Leg | Loftus Versfeld Stadium | 12.11.2023. Mamelodi bingwa

HT

Mamelodi wanamiliki mpira kwa asilimia karibia themanini, wamepiga mashuti matano, goli moja.

Wydad hajajaribu shuti lolote, sio kulenga goli wala kubutua, hana kona hata moja, half nzima wamefanya kazi ya kukaba pekee.
Walikuja na mentality ya kupaki basi na kuchelewesha muda

Zilipoongezwa dakika ikawadiscourage

Kikubwa Mamelodi wasiruhusu goli la ugenini

Wajitahidi wapate goli la pili
 
"kwa ile Yanga vibonde wa Ihefu ndo ilinganishe na hawa wababe?"

Are yu crez?

Alisikika mwana mbalari akiuliza hivi katika banda umiza la Buza 😂😂
Kwa ile Yanga iliyocheza juzi, Sioni hivi vilabu viwili vikitoboa.
 
Back
Top Bottom