FT: Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad (Agg: 3-2)AC | African Football League Final | 2nd Leg | Loftus Versfeld Stadium | 12.11.2023. Mamelodi bingwa

FT: Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad (Agg: 3-2)AC | African Football League Final | 2nd Leg | Loftus Versfeld Stadium | 12.11.2023. Mamelodi bingwa

Sema hivi vilabu vyetu vya hapa bongo viongeze viwango fainali kama hizi ziwe zinakuja kwa wingi kwa mkapa hapo, hizi heka heka tunaziweza sana mashabiki
 
Wale wa canal sports channel namba 270... ORTB

Japo lugha ni kifaransa, ila tunaishi nao
 
HT

Mamelodi wanamiliki mpira kwa asilimia karibia themanini, wamepiga mashuti matano, goli moja.

Wydad hajajaribu shuti lolote, sio kulenga goli wala kubutua, hana kona hata moja, half nzima wamefanya kazi ya kukaba pekee.
 
Back
Top Bottom