Kiongozi wa CAF kasikitika kweli ila ndo michezo ya waarabu.Hiki wanachofanya mamelord nimekielewa. Ukila njano, unaacha mpira anaenda mwingine. Naye akila njano anaacha[emoji1787][emoji1787]
Kwani alikwambia kwamba anafuata hicho? Yeye alienda kwa ajili ya Soweto Derby ambayo ilipigwa jana! Hata kama aliwakanda mkono lazima umheshimu tu!Maji na mafuta yanajitenga hapa kuna mtu mmoja ameenda na mbwembwe nyingi sana huko kuamini najaribu kuzoom hapa simuoniView attachment 2811715
TumeshindaMamelodi twende kazi.⛷️
.
AhaaaaaMamelod wanejua kuwatia hasira waarab dak za mwisho
Hii imefanana sana na YangaJezi nzuri ya Mamelodi ni ile ya bluu
Wanawafundisha waarabu utoto wao wanaoufanyag na wao hua unaudhiKwa wanachofanya mamelody huu ni utoto sasa
AaaahaaHiki wanachofanya mamelord nimekielewa. Ukila njano, unaacha mpira anaenda mwingine. Naye akila njano anaacha[emoji1787][emoji1787]
Analia kama Kapombwe na Zimbwe walivyokuwa wanalia siku ile.Cocha wa mamelod analia