Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Dakika ya 74
MAMELODI 2 - 0 WYDAD
MAMELODI 2 - 0 WYDAD
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanacheza kimbinu zaidi kuliko show gamesIla waarabu wachawi sijui wana kismart, hapo unaweza shangaa wakapaa goli moja dkk za mwisho wakaenda mikwaju wakashinda!
Dk 78 madiba 2-0muarabu,3-2 matokeo ya jumlawadau leteni update kwa wingii
Hakuna penati Mamelodi wakazee jamaniihii mech itaend penalt
81"Dakika ya ngapi wakuu huko?
Mamelodi waache ubishooHii game bado mbichi, mamelody inawalazimu kutafuta goli la 3 kujihakikishia ubingwa.
Wydad wakipata goli wanakuwa sawa kwa magoli.
Nawaogopa hapo tuHao waarabu wana kismart sana hapo wanaweza kupata goli dakika za mwishoni wakaenda penalty wakashinda!
Au sioSi rahisi WYDAD kuruhusu goli mbili..
Ni sahihi. Hawa Mamelod inatakiwa waongeze goli la tatu. Wasiwachekee kabisa.Hao waarabu wana kismart sana hapo wanaweza kupata goli dakika za mwishoni wakaenda penalty wakashinda!