OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
-
- #21
Nilijua mechi ya leo kapewa KitaleMarefa wana plasta teh
Simba ndiyo timu pekee Tanzania iliyokusanya Pointi nyingi Caf ndani muda mfupi.Imefanya wakati hata nusu haijawahi fika. Hivi vituko vya makolo
KengezaSimba wanalitaka hili kombe, maana la nbc washalikosa
Huyu jamaa anajuaga kutupia, sema kocha anambania tuGoooooooooooal Moses Phiri
Ushabiki sio lazima ukatae ukweli.... Ukweli unajulikana ila kujitia hamjuiImefanya wakati hata nusu haijawahi fika. Hivi vituko vya makolo