Think Machines
Senior Member
- Jan 26, 2023
- 129
- 194
Wapi huko umeme umekataNamna gani hapa TANESCO wanafanya yao!
Huko SA Kaizer chefs na Orlando pirates ndio Simba na yangaKweli no people ingekua k chief vs o pirate ingekua nyomi
Kweli mkuuHuko SA Kaizer chefs na Orlando pirates ndio Simba na yanga
Timu za ANC
Hawa akina Mamelodi na Malumo ni kama Azam
Hata 225 Supersport pia wanaonesha
Malalamiko ya umeme ni mengi inaonekana umekatika sehemu kubwaMamaee tanesco
Nyamaza hadi mechi iishe ndio useme usemachoHawa Marumo kama wameshajikatia tamaa vile
Na li kipara lake ana jikuta ObamaJANUARY YUSUPH MAKAMBA TUMEKUCHOKA AISEE MBWA WEWE. NA SIKU UKIFA UTAOZA SIKU HIYOHIYO MAT*** YAKO