FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

Sema mashabiki wa Yanga bhana daah, nyie mkitutania mko humble ila sisi tukiwatania tumevurugwa, haya bhana watani isiwe kesi ngoja niwaache Niendelee zangu kuwatania mashabiki wa Real Madrid huku
Sema hivi sie tukifungwa pale Lupasu lazima tuvunje viti!
 
ukisikia jitu linadai mayele afananishwe na mtu yoyote
mkamateni huyo katoroka mirembe
 
Sie wachezaji wetu makolo hatuwadai kitu, walishaleta kombe la kufa kiume
AddText_05-07-05.55.40.jpg
 
Ni siku ambayo hakuna alieifahamu lkn ilisubiliwa miaka na miaka tangu kuumbwa kwa dunia.

Ni siku ambayo kila Mtanzania ngependa iwe upande wetu. Ni siku ya kipekee ambayo haitakiwi kupotezwa.

Eeh Mwenyezi Mungu ijaalie Young Africans SC iweze kupata ushindi siku hii ya leo nyoyo na nafsi zetu viweze kufurahi. Eeh Mungu ibariki Young Africans SC. Ikawe siku njema tupate ushindi inshallah. 💚 💚 💛 💛 @yangasc1935 #DaimaMbeleNyumaMwiko
Alhamdulillah. Ahsante Mungu maana sio kwamba tulistahili ila ni kwa mapenzi yako.
 
Back
Top Bottom