Kutoka tanesco mpaka mkoa, vipi hapo mkuu?Hama huo mkoa unaokaa ni wa kimaskini
Yn relax tu, yanga washafuzu hpa. Marimo wanakoswa koswa hpa.Nashukuru kwa Kwa majibu yenu wakuu, basi ngoja nikae nirelax. Maana roho ilikua inanilipuka hapa.
Its not over until its overYanga ashaenda fainali
Ova
Yanga anapita.Naomba kuuliza nini kitatokea kama matokeo yatakua
Malumo: 1-Ysc0
M: 0 - Ysc 0
Malumo 0 - Ysc 1
Itakua kapata mshangazi wa kinondoniBangala amekuwa mzito siku za karibuni
hahahaha chivaviro anajitahidi anafaa anzia benchi baada ya mayeleMarumo wanakosa bao
kajitahidi kwa nafasi yake mayele.atamsaidiaLicha ya offside ila Bangala hakuwa na maamuzi sahihi