Hivi nyie Marumo kwanini mnatufanyia hivi lakini?! Mmehongwa au??!
Unateseka ukiwa wapi mkuu??Yani bingwa wa Tanzania na mshika mkia wa South mlitegemea Yanga ishindwe kufunga kweliii ...
Usikue hivo utaniliza😆Nipo hapa hapa 😔
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi nyie Marumo kwanini mnatufanyia hivi lakini?! Mmehongwa au??!
Mbili huko mbili zinasoma kwenye ubao hukoYanga siwezi abadani..bora niwe ruvu shooting
Leo mko na vibonde wa shirikishoAucho kama kawa washamsoma watam provoke alambe kitu red
Atulie asubirie msimu mwingine....kwa sasa simba imeelekeza nguvu zake kudai katiba mpyaMtendee Kalpana wetu kwa upole asife😂
Uko live mkuu😂😂Na Yanga ndio sisi😍😂
Nasemaajeeee. Yanga Fainali. 🤣🤣Nasemajeeeee
Kama inauma chomoa mkuuLeo mko na vibonde wa shirikisho