BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,417
- 3,590
Na badooooooo! Sisi ndo Yangaaaa ππππππππΊπΊπΊπ€ΈYaani unapigwa nje ndani. π€£π€£
Hamna hasira walihamishia Kariakoo, wamemsimanga Mwigulu hatari sana leoπ€£π€£Atulie asubirie msimu mwingine....kwa sasa simba imeelekeza nguvu zake kudai katiba mpya
AahaaaaaaHii sasa sifa. Aya Marumo shindeni 5
Relax mkuu ,sometimes usiwe to serious, enjoy the game,we're 2up yeeeeeeAnabakia huko... As if amekua nguo sokon kila mtu anajichagulia mwenyewe bila utaratibu
kweli horoya hakuwa kibonde wala vipers ndo maana wamefuzu nusu fainaliVibonde wamewapata vibonde.
Kipofu kaona mwezi
Nenda tuu,kuna kiarusi na preshaa[emoji23][emoji23]Ngoja niondoke aiseee washaniuzi
Daah totoo nawe Yanga?πππNa badooooooo! Sisi ndo Yangaaaa πππΊπΊπΊπ€Έ