Tupatupa wa Clouds Media anasema Ibrahim Bacca ni biological solution ya no-look pass za wachezaji wa Malumo Gallants.Ibrahim Bacca amekuwa na game nzuri
ππAkaaaa
Mpira haramu.
Niko nashushia ubwabwa maharage hapa π€£π€£π€£
Simba amekondeanaSimba wamepata uchungu wa kujifungua
Watazimia mashabiki wa timu mie shabikinwa mpora napata burudani huku majishangazi ya yanga nanesa nayo tuuTutaenda rafiki nitakuja n glucose niwe nawapa...maana mtazimia sana
kwenye kikosi kizuri hapo ndio umeongea kwenye bahati hakuna kitu kama hichoUmesoma vzr nilichoandika?? Bahati mnayo na mna kikosi kizuri pia.
π€£π€£π€£ niitwe vip wakati tuko pamoja hapa ???Ww kipwipwi umeitwa??
WoyoooooooooooooWoyoooooooooooooooooo
Nani kama Yanga????
Tumewafunga midomo kuanzia wachezaji wao mpaka mashabiki wao uchwara....
π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Yaani unawanga saa 3 ya usiku??Hilo kombe hamchukui Bana [emoji1787][emoji1787]