FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

Upo uwezekano mwakani msishiriki international games.

Nafasi ya Kwanza hii mmeitema, je kwenye ligi mtaweza kushindana na Azam mpate nafasi ya Pili?

Mna mechi na Yanga na mna mechi na Azam, hapo ndio akili zitawarudia, wakati mnashabikia Mamelodi tuliwakumbusha mfocus kwenye timu yenu hamkashupaza shingo, haya Kiko wapi sasa?
Bado mpk leo tunawashangilia masandawana...
 
Huu msimu burudani ni moja tu. Kuwatazama vyura wakikabidhiwa kombe la kufa kiume kwa malalamiko mno. Ngoja nikatazame tena ile mechi.
Endeleani kukomaa na vyura kama mlivyokomaa kwa Mamelodi alipopangwa na Yanga mkaacha shughuli zenu na kuumbuka kwa kipigo kitakatifu. Msipojifunza kujali ya kwenu mnapoteza kila sehemu msimu huu.
 
Mo- day, hi mechi ya leo ni dedication kwa Mo- boss mkubwa, anayetoa fedha za usajili kwa Try-again na genge lake wakasajili wao wanaokoto magalasha yaaliyoachwa na timu zinazoshuka daraja , wanapiga cha juu na kututangazia wachezaji usiku wa manane[masharti ya mganga]
Kwani semaji linasemaje😅
 
Back
Top Bottom